myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
yaleyale....Taarifa inasema hakuna shehena ya mafuta iliyopokewa kupitia bandari ya Tanga kwa mwezi Juni, hivyo bei za petroli na dizeli kwa mikoa ya Kaskazini zitaendelea kuwa kama zilivyokuwa Juni.
Pia, kutokana na Tanga kuishiwa mafuta ya taa, wamiliki wa vituo vya mafuta katika mikoa ya Kaskazini wanashauriwa kuyanunua Dar es Salaam, hivyo bei za rejareja zitatokana na gharama za mafuta yaliyopokewa katika bandari ya Dar es Salaam na kusafirishwa hadi mkoa husika.
kwisha habari yetu...Watumiaji wa vyombo vya moto jijini Dar es Salaam watalazimika kutoboka zaidi mifuko kumudu gharama za petroli na dizeli zilizoongezeka mwezi huu.
Ongezeko hilo linafanya watumiaji wa petroli kununua lita moja kwa Sh2,409 tofauti na Sh2,282 mwezi uliopita na Sh2,329 kwa dizeli badala ya Sh2,164.
AminMungu atulinde sote na atuepushe na mabaya katika siku hii
Sera ya jf kumiliki ID nyingi?Hiyo ndiyo sera ya humu (JF)[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hujambo ledadaMaziwa
[emoji3] [emoji3] [emoji91] [emoji91] [emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3]ujiii....mweupe!
Kwani uji wa chumvi hamnywi?Uji wa kunywa na sukari mkuu[emoji56]