[emoji106][emoji106]Pipii halafu uji
Oooh! Kumbe wapenda uji tupo wengi eeh!
.......********.........*********...........********
Sana tu mkuu! Napenda sana uji mie
[emoji124] [emoji124] ujii ujii uji.... Ujiiii.... Yaani uji huu huu unao kamuliwa kwenye parachichi ndio mnaupenda kiasi hicho?!!!!Uji gani[emoji124][emoji124][emoji124] mmmh watu wanaongelea ujiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tayariii[emoji124] [emoji124] ujii ujii uji.... Ujiiii.... Yaani uji huu huu unao kamuliwa kwenye parachichi ndio mnaupenda kiasi hicho?!!!!
Aaahh ujiiiiii...
Wewe unapenda maziwa, Pyaar anapenda saaana uji.Maziwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unapenda maziwa, Pyaar anapenda saaana uji.
Utamu wa uji ukumwagikie....Utakunywaje uji usio SIKARI bwana, utamu watoka wapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhahaha!, Hiyo roho mbaya sasa....Si nitaungua?Utamu wa uji ukumwagikie....
Kiazi kimekaa vizuri kwa kutafunwa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kiazi kimekaa vizuri kwa kutafunwa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kwani bado mdogo?? Au mpaka akue vipi?Hivi we Mnyaki hujaacha vituko tu? Najua ukikua utaacha! [emoji1][emoji1]
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mweupe mzito wenye chumvi wa motoo [emoji91][emoji23][emoji23]
Kwani bado mdogo?? Au mpaka akue vipi?
Kwema tabhani?
Hapo mpaka ukiachanishe ndo utaweza kukitafuna, vinginevyo labda uanzie huko chini.Kiazi kimekaa vizuri kwa kutafunwa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nakusalimia PyaarUji sharti uwe wa motoooo, ili usisimue utumbo
Umenikumbusha mbaalii 2007 kifo cha Madilu na ile story yetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah moud bhanaUji wa mchele, ule mweupe kisha mzito. mara nyingi ni wamoto sana. Kumbe huwa unaunywa eeeh!!?
MamboNakusalimia Pyaar
Safi kabisa...Wanasemaje huko?Hahaa, huku kwema. Mambo Vipi dadake?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu baada ya miezi tisa?Uji sharti uwe wa motoooo, ili usisimue utumbo