mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kuna aina fulani hivi ya viberiti viliingia na kupotea fasta, basi ulikuwa ukiwasha njiti zake 2" nyingi zinazima....Mfanano wake ni huu.Moto wa mabua......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo mama mkwe analala macho juu juu...???
Wachungaji walimtumia sana na music industry Tz inachangamoto sana hasa kwa upande wa InjiliNi uhuru wake kabisa kuamini na kuabudu cho chote anachotaka. Ila tu atambue unafiki ni tabia asili ya binadamu na hauchagui dini, taifa, kabila wala tabaka. Na yeye mwenyewe pia inabidi ajipeleleze nafsini kwa sababu yawezakana tatizo hasa limo ndani yake. Mchango wake katika nyimbo za injili za kisasa (biashara) ni mkubwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Na ndio alichokuwa anafanyaHayo ni mambo madogo sana.....Pia kuna uwezekano mkubwa akawa yupo kibiashara zaidi kuliko wokovu..
TUMSHUKURU MUNGU wetu Atupendaye [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Walitaka kunirudisha huko, nimepindua[emoji23][emoji23]
Uzima upo telee
Aisee kweli kabisaMzee Rutta jamani yuko wapi? Tunakosa updates laivu za kombe la dunia.
Mambo moto motoLeo kuna operation kubwa Dar ya kukamata (Nyakua) Drivers waliokunywa Pombe kupita kiwango.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemfukuza kikaoni Kamishna Mkuu wa Magereza, Juma Malewa kwa kuchelewa kufika kikaoni-MCL
HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemuagiza katibu mkuu wa wizara hiyo, kumshusha cheo Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya Leopold Fungu-MCL
HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameagiza Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto Mkoa wa Kagera, George Mrutu ashushwe cheo-MCL
Alijua kabisa nyumba zetu halisi za kitanzania zilivyo, mkwe yumo ndani....Unafanya kuvunga kama hujasikia lolote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nashukuru kukuona mkuuNipo kamanda. Bro aka Kijana mpole kumbe naye ni mtata [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]TUMSHUKURU MUNGU wetu Atupendaye [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mungu Ametujalia siku nyingine...Nashukuru kukuona mkuu
HahahaAlijua kabisa nyumba zetu halisi za kitanzania zilivyo, mkwe yumo ndani....Unafanya kuvunga kama hujasikia lolote