Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

371A7F65-4041-4BEA-82B0-FC2D0151BBB6.jpeg
 
Yusuph Manji akubali kurudi Yanga atanguliza milioni 400 kwaajili ya usajili Pesa hizo zime wasili klabuni hapo siku ya jana

Yanga itatakiwa kutumia pesa hizo kufanya usajili ambapo ni pamoja na kuwaongezea mikataba wachezaji wao ambao ni Yondani Mahazi Mwashuya nawengine ambao mikataba yao imekwisha
[emoji471][emoji471][emoji125][emoji125]
Safi
 
Nina tabia ya kujaribu vitu. Kwa sasa najifunza jinsi ya kuripea air conditioning units na mafriji. Nikitoka hapo nahamia kwenye magari. Just the fundamentals. Si vibaya nikijaribu hili darasa lake. Yego nadhani evenchuale alisoma ajabu baada ya kuhitimu kawa mkimyaaa. Nataka nami nijaribu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuachwa kuko pale pale tu. Hawa wenzetu hawa mhhh. Hata ufanye nini...
Haina jinsi bro,,,Iktokea umepigwa chini unakuwa mpole tu maana wote mmekutana watu wazima,mmekuwa kwenye malezi tofauti,,

Ila watafiti wanasema relationship nzuri na imara zaidi ni zile znazoanzia friendship,i mean ile mnakuwa pamoja basi relationshp ya namna ile huwa imara sana japo kuachana ni kawaida tu!! Jina la Ex lisingekuwepo km kungekuwa hakuna kupigana chn.
 
Back
Top Bottom