[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah!![emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha niendelee kuchaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kazuri...Huyu mtoto huyuuView attachment 804440
Ukiangalia kwa jicho la kwanza inachekesha sana lakini la pili ina ujumbe ghani kabisa Mungu atuepushie ujinga na uozo huo kwa vijana wetuHahah!! Sana mkuu
ila hiyo post imenifurahisha sana japo imejaa harufu ya dhambi na laana
2hrs to go15:00
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah!! Kambi muhimu hapo atakama hakuna feni utaiweka mwenyewe tuNi kazuri...
Halafu ukute kiuno feni...
Utaweka kambi hata kama ulikuwa na safari...[emoji16][emoji16]
Embu wataje wawili tuHapa hapa JF kuna wifey material kabisa yaani. Dah!
Hakika huo ni msiba mzito mkuuUkiangalia kwa jicho la kwanza inachekesha sana lakini la pili ina ujumbe ghani kabisa Mungu atuepushie ujinga na uozo huo kwa vijana wetu
HakikaMungu ni mwema
Muulize BroEmbu wataje wawili tu
Mkuu huyu Jumbe Tambaza ndiye alikuwa mmiliki wa eneo la shule ya Tambaza ,S/m muhimbili mkp msikiti wa Tambaza ama jina tuVivopa wa TANU wakati huo walikuwa ni Dossa Azizi, John Rupia, Max Mbwana, Mshume Kiyate, Haidari Mwinyimvua, Jumbe Tambaza na wengineo
Mkuu wacha tupate malikes hiyo mada ni ndefu sana hatuwezi maliza leo wala keshoHakuna kiama?
Umemuona muthoto wa kk anatumia @haifungukiWakuona nitakua mimi bhana?
Najua. Nilikuwa nakuchokonoa tu. Mjanjaaa kama ilivyo kawaida ya WakereweMkuu wacha tupate malikes hiyo mada ni ndefu sana hatuwezi maliza leo wala kesho
HahahahaWanafundisha yote hayo na mengine mengii juu ya kuishi na mwanamme. Sorry jibu limekosewa kutumwa na mimi