Hahahaahaaaaa....Numbisaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una bahati sina kipaji cha kubwatuka hadharan kama bwana naniliii
Nyie ndo mmetuharibu kwa chama chenu cha chawamita. Shukran kwa cole na poti kwa kuanzisha chachawa ikapunguza makali ya chawamita[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Siyo kujifanya mgumu, ni kuwa MGUMU kweli! Hakuna kuigiza! [emoji1][emoji1]
hiiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 797060
Tupo mkuuTeam Croatia tujuane bado mapema
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Waanze kukuogopa? Au ndo watataka kutest zali? Kizazi hiki ni cha kuogopa kitu hichi? Utashangaa fenesi lote linapoteleamo na mihemo wala haibadiliki...Tena ndiyo waulizwa kwa sauti ya puani "Imeingia yote?"
Halafu leo sijui nina nini leo. I need to calm down...Baadaye [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kazi rahisi mnoLabda uje na njia nyingine sio ya magazeti, ila kulimanage fekero watu wasikujue sio kazi rahisi lazima utajichanganya tu
AmenJambo la kheri. Tukubaliane hali lasivyo tutaumia na suluhisho hatutapata. Kwa upande wangu Mungu anazidi kutenda kwa kweli,namshukuru kwa wema wake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naonekana kama mtu hatari sana mimi... Wajukuu zangu humu wataanza kuniogopa.
Habari ya majukumu ndugu[emoji120] [emoji120]
Ahsante Mungu jwa wema wake ametukutanisha tena
[emoji137]Team Croatia tujuane bado mapema
Tupo pamoja mkuu soon tunashuhudia soccer safi sio kama hawa vilema waliocheza mchanaTupo mkuu
Mi huwa natumia ya maji dr cold hii inanisaidia sanaNikweli kama mimi hizo piriton huwa hazifanyi jambo ili huwa kuna Coldril kidogo naonaga zinajitahidi
Tena wewe hukawii kuweka zile emoj zako za fire[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kazi rahisi mno