myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Aisee. Wenzetu hawa wako mbali. Wanamjibu Mrusi na lile liAntonov lake linaloweza kubeba mavifaru na mazagazaga mengine kwenda vitani?
Twende tukale chapati na supu!!
Mi nataka nikajaribu cement na supu [emoji16][emoji16][emoji16]Twende tukale chapati na supu!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi nataka nikajaribu cement na supu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli tupu. Maono. Maono. Legacy. Basi tu !!!tuna safari ndefu...
tungezitumbukiza kwenye reli zote...wapandaji wa treni ni wengi na zingelipa kwa haraka,riski yake pia ndogo.
kila mtu na maoni yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nataka nikajaribu cement na supu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba kama umeamua kujirisk ujirisk kwenye kitu chenye akili kweli..
Kwema ngole wa Ntuzu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiamua kutenda dhambi basi dhambika kweli kieleweke na faudu kwa kadri inavyowezekana. Siyo unadhambika kwa nyodo, kujishaua au kufaudu nusunusu. Huo ni udwanzi [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba kama umeamua kujirisk ujirisk kwenye kitu chenye akili kweli..
Kwema kabisa, namshukuru Mungu kwa pumzi hii aliyoniwezesha siku ya leo kwani ni wengi walitamani kufanya kama ninachokifanya sasa lakini haikuwa hivyo....Kwema ngole wa Ntuzu?
Hahahahahaah! JamaniUkiamua kutenda dhambi basi dhambika kweli kieleweke na faudu kwa kadri inavyowezekana. Siyo unadhambika kwa nyodo, kujishaua au kufaudu nusunusu. Huo ni udwanzi [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Mkuu umesema ukweli.tuna safari ndefu...
tungezitumbukiza kwenye reli zote...wapandaji wa treni ni wengi na zingelipa kwa haraka,riski yake pia ndogo.
kila mtu na maoni yake
Inabidi tu iwe hivyo.
Hahahahahaah!!!!!!!.......*****.......Kwema ngole wa Ukerewe?