capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Tunatofautiana viwango vya uvumilivu...Ndio maana kukawa na binadamu kama malaika na wengine kama mashetani...Inataka moyo. Mzee wa goli la mkono mbona alishindwa? Mianasiasa !!!
AminHave a good day!
salamaaHabari za mchana
inakimbiza..Jumatatu ya majukumu ndiyo hiyo
Wivu na mawazo ya kitumwa yanamtafuna mtoa mada
Kwema kabisaWatu wana maneno duh!!!
Kwema bageshi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]ukiwa bila mke haina maana..
Akiwa mbunge nilikuwa namkubali na kumuamini sana bro Kangi, lakini Wizara ya mambo ya Ndani inaanza kumfanya kuwa kituko"Jamaa kavaa kishamba sana kama kawaida ya watu wa kanda ya ziwa hiyo suti na raba kama mbingu na ardhi"
Nimenukuu comment ya mdau mmoja huko...
[emoji673][emoji673][emoji673] Ni kosa kufanya hivyo? Huyu ninja hata hivyo anajulikana kwa vituko vyake na ni mpenda matani sana. Bungeni huko pia huwa vituko tupu. Cheo alichopewa kinataka umakini mkubwa. I hope analijua hilo !!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Majukumu gani ya usiku wa manane? Ulienda kukorogeshewa uji ama?
Mchicha wa Dar......Kwa mnaopenda mchicha na mboga mboga za Dar. Hili hapa hitimisho la utafiti mpya kabisa kuhusu mboga zenu hizo.
View attachment 805922