Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahah!! Hayo mambo unaachaje ikiwa uhai bado upo braza?Mi nanogesha uzi wetu tu bro. Hayo mambo ya juu kwa juu nshaacha kitambo sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mtaani mambo hayo hayakubaliki, mambo ya kulialia kwa wanaume ni magumu. Nadhani wanaume wataamua kukaa na donge Moyoni kuliko kulia. Mkuu kulimwaga chozi uwe na moyo. hayo tuwaachie mama zetu, acha yatughalimu maana hakuna namnaNa kutolia huko ndiko kunawakosti wanaume. Hawatoi madukuduku yao. Mshonano wa mambo kibao kifuani na siku ya siku massive heart attack wanadondoka na kufa na mambo yao kifuani. Kulia kumethibitishwa kisayansi kuwa ni njia nzuri ya kupunguza stress hormone mwilini, hormone mbaya inayosababisha BP, matatizo ya moyo na shida zingine kibao.
Wanaume kulia siyo udhaifu. Ukigusika sana moyoni lia mwanawane. Mbunye ikikuzidia utamu limwage chozi bila aibu...Ukiwa na huzuni sana lia. Misiba ya wapendwa wako lia...Kwa kufanya hivyo utakuwa unajitibu na kujiongezea siku za kuishi...
Inawezekana bro. Ni kujiendekeza tuHahah!! Hayo mambo unaachaje ikiwa uhai bado upo braza?
Hata mimi nilishangaa, nilidhani mlo wa asubuhi kumbe ni mlo wa mchana. Utapataje nguvu ya kukoroga uji [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sijaridhika na hii lanchi hasa kutoka kwako bro - bingwa wa kukoroga uji. Ni appetizer hii au ndo msosi wenyewe? Au uko Dar bro?
Sawa mwenyekiti wa umoja [emoji23]Na hiyo michicha ya DAR mnayokula sijui tu..
Aiseee...Mtaani mambo hayo hayakubaliki, mambo ya kulialia kwa wanaume ni magumu. Nadhani wanaume wataamua kukaa na donge Moyoni kuliko kulia. Mkuu kulimwaga chozi uwe na moyo. hayo tuwaachie mama zetu, acha yatughalimu maana hakuna namna
Hawa ndo wanatoaga vitu weak...vyepesi, havisafiri vikafika kokote.[emoji38][emoji38]Hata mimi nilishangaa, nilidhani mlo wa asubuhi kumbe ni mlo wa mchana. Utapataje nguvu ya kukoroga uji [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mwenyekiti wa umoja [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ingekuwa lanchi ya mtu mwingine nisingeshangaa lakini ya bro huyu machachari aliyevunja mpaka rekodi ya KUZINDULIWA. Nimeshangaa sana !!!Hata mimi nilishangaa, nilidhani mlo wa asubuhi kumbe ni mlo wa mchana. Utapataje nguvu ya kukoroga uji [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu tabia hiyo ifanyie tu ugenini, lakini kwenye kanda yetu ile utashangaza wengi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mi naliaga tu bro. Na baada ya hapo najisikia vizuri sana !!!
Muwe na huruma, hata flat nao wanataka upendo wenu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Haya maisha bila chura ni mtihani sana kwa hawa wenzetu
Jamaniii....Hawa ndo wanatoaga vitu weak...vyepesi, havisafiri vikafika kokote.[emoji38][emoji38]
Mie nahisi akilia inamuongezea hisia na mbwembwe za kushughulika yule wa upande wa pili.....Yaani anajikuta tu automatikale.Mkuu tabia hiyo ifanyie tu ugenini, lakini kwenye kanda yetu ile utashangaza wengi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndio mkuu nilikua pale na mwaka jana mwishoni hivi ndio niliachana naoAsee, kumbe ulikipiga pale jkt mkuu hongera
Aaaaa wapi. Hata home naliaga tu. Nifiwe na mamangu nisilie kisa mi mwanaume? Uanaume haupimwi kwa kulia/kutolia !!!Mkuu tabia hiyo ifanyie tu ugenini, lakini kwenye kanda yetu ile utashangaza wengi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Asante kwa taarifa mkuu.Asalam Aleikum
Kituo cha afya Pugu kajiungeni Kuanzia leo jumatatu 09/07/2018-19/07/2018 kutakua na zoezi la upasuaji wa mabusha. Huduma hii ni bure. Naomba mpe taarifa unayemfahamu mwenye tatizo hili.
Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] umeona. Kulimwaga chozi kunataka ujasiri. Binafsi naona hata machozi yenyewe sina,labda nipige kelele tu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Lakini naimani una maeneo yako muhimu ya kulilia