Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] PhDs hahahaha
 
Mkuu kwani kanisani nako kuna haja ya kumwaga chozi!!?
We nawe. Kulia kunakuja otomatikale. Siyo maamuzi yako. Kama jana kulikuwa na mhubiri mmoja machachari sana. Neno linakuchoma unajikuta tu umeshalia hata bila kufahamu...na ukitoka hapo unajisikia upako wa hali ya juu. Tatizo ni huu uzi na kuachana nao pia ni vigumu kweli kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…