Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2) Mazingira
Mazingira yana mchango mkubwa sana, kwani ndio chanzo cha uthibitisho wa yote mtu aliyojifunza utotoni.
Mtu anapokuwa katika mazingira fulani kwa muda mrefu huchukua/ kufanana na tabia za mazingira husika.
 
Mtu ataimarika kama tu! Atakabiliana na changamoto husika. Kukubali na kukabili changamoto huleta ujasiri na imani na kumwezesha mtu kukabliana na changamoto nyingi zaidi.
Je mtu atakimbia chanagamoto ngapi ili afanikiwe?
 
Kama kuna kitu me huogopa hii life ni kuzeeka ile excess mpaka huezi tembea. Unapata watoi wako wamekutoa nje kuota jua halafu wanakusahau huko nje wanalala,asubuhi wakiamka wanakupata ukona dew kama panga imelala nje[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kukosoa kwa chuki hubomoa sio tu mkosolwe bali hata mkosoaji.
Kukosoa kunakojenga huambatana na upendo, heshima, utu n.k. Husaidia kujenga na kuimarisha watu wenye mapungufu. Huwafanya watu (mkosoaji na mkosolewaji) wakubalike katika jamii husika.
 
4) Husubiri watu watoe suluhu ya changamoto.
Watu wenye taswira binafsi duni hukaa na kusubiri rafiki, ndugu n.k watoe suluhu ya changamoto zinazowakabili. Kwa mfano, kijana anasubiri wazazi wamtafutie kazi
 
Ukiona baba yako anakusumbua na kukuwekea masharti mengi nyumban kwenu mfukuze mwambie akaishi kwa baba yake maana wewe hapo kwa baba yako

[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Heee hapa sikubalian nawe daah nishajaribu mara nyingi kusali kwa walokole ila ikifika muda wa kulia nashindwa kabisa
Haya mambo ya kiroho ni magumu. Tuyaache tu kama yalivyo [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️

[emoji673][emoji673][emoji673]Ungeendelea kwenda kuna siku Roho Mtakatifu Angekugusa na ungejikuta unalia kama mtoto mdogo.
 
Bro kwa hyo ni kweli kuwa watu wa kanda ya ziwa wanavaa kishamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…