myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ndioo njoo hapa napata zangu k vant nichek game vizurUpo waswanu kweli Demiss
Kweli mkuu kawa mlaini mnoo siku hzi au anaendana na soko la sasa vijana tunavyotaka. Kush Up naipenda kuliko nyimbo zake zooteHuyu Wiz Khalifa wa siku hizi anaimba siyo kama huyu wa zamani.
Hebu msikilize hapa mwaka 2010...
1. Too Late- Wiz Khalifa
2. This Plane- Wiz Khalifa (Huu alitengeneza biti mwenyewe)
CC: ningendako , Cole Williams , Davet
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji124] [emoji124] Mkuu wa kitengo cha biashara na matangazo... Hizi fursa zitatumaliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Mbona ya kukamuana "uji" haipo? Ndio maana sitaki kuzifuata fomyula za wazungu mimi
Jina la mtu hiloAisee
Hakuna kituMkuu believe me Mzee anatibu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahahha! Barua ni nusu ya kuonana.
Mkuu kuhusu mzigo usihofu niko makini kuliko maelezoMkuu mzee wa liver umeshapata ushauri wa Pyaar kuhusu mzigo?
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
K vant sawa kabisa kwa baridi hili la Dodoma I'm comingNdioo njoo hapa napata zangu k vant nichek game vizur
Embu pata infection tujaribu kwako ndio utaaminiHakuna kitu
Leo umehamia hukoCroatiiiiaaaaaa