Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ati nini?

Sijawahi ona hii. Mkeka nitandaze miye halafu weye utoke huko uje kudandia...

Subiri Jumapili ipite nawe utandaze mkeka wako. Bado kuna ligi zingine hapa hapa kwetu Bongo. Tandaza mkeka hata kwenye michezo mingine mf. ngumi n.k.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata kombe la Kagame
 
Anaza styudenti...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Narudia tena usajili wanaoufanya Simba SC unawasaidia wao kama timu kwa maana timu inakuwa na kikosi kipana chenye uwiano sawa, ila usajili huu haumsaidii mchezaji mwenyewe maana wanaocheza ni wachezaji 14 tu kwa mechi moja, 11 wanaanza na 3 wanaotokea benchi. Sasa kazi kwa wachezaji wenyewe kutafakari kabla ya kufanya maamuzi......

Robson Charles
[HASHTAG]#MeddieKagereNdaniYaSimbaSCMsimuUjao[/HASHTAG]
 
Ati nini?

Sijawahi ona hii. Mkeka nitandaze miye halafu weye utoke huko uje kudandia...

Subiri Jumapili ipite nawe utandaze mkeka wako. Bado kuna ligi zingine hapa hapa kwetu Bongo. Tandaza mkeka hata kwenye michezo mingine mf. ngumi n.k.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro komaa na mkeka wako bhna
 
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Mjane aliyefahamika kwa jina la Nyawamba Dohoi anayekadiriwa kuwa na miaka 61 ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana nyakati za usiku akiwa amelala na wajukuu zake wawili wadogo nyumbani kwake katika kijiji cha Ilebelebe wilayani Kishapu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…