Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uchawi ni nini?

Uchawi ni pale demu wako
Anapo kupeleka kwao ,ghafla unakutana na dada ake getini *ambae alikua ni mpenzi wako wa zamani*kuingia ndani unamuona kaka ake ambae mlipigana baada yakukufumania na mke wake*ujakaa vizuri unamuona mama yake ambae ndyo jimama lako anaekueka mjini,ambae hata gari unalolitumia alikupa yeye na hataki upajue anapo ishii*wakati unataka kuondoka unakutana uso kwa uso na baba ake ambae alikua wakili wako kwenye kesi ya ubakaji[emoji23][emoji23]
@[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro hlo si darasa tu,, sitili niko vile vile,, mtulivu, mpole na mwenye busara pia,,,[emoji23][emoji23][emoji23]sema huu uzi uko na mambo sana,, kumbe bro ulikuwa umensave tu [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila Shiro yeye bado yupo vilevile si ndio [emoji23][emoji23]
 
Hewala mtera si nile wala victoria,panama au bonde la ufa tanganyika lake cha mtotooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wanaokuja baada ya hapo sharti wapwaye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…