Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata wewe andaeitini inosenti ushakumbana nazo eeh...Jamani dunia hii dah !!![emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niwe tu mkweli...
Shimba umeniharibia binti zangu,Numbisa alikufunza ujasiri wa kukabiliana na mahataz... Ajabu ya alicho kipata kutoka kwako sasa...hata hakashikiki...yaani kamekuwa "kanzawisa" kuliko hata ka Scola ka Bozi Boziana
 
Shiro bado yuko vile vile? Kuna siku akiwakaga yaani anawaka kweli kweli. Uzi huu hakuna mwenye unafuu labda Malkia wetu tu basi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Halafu malalamiko kibao kumbe mitambo ya kuchimba visima virefu ishapita
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
 
KaNumbisa hujakaelewa wewe. Kakiamua kuwa kakorofi kanakuwa. Kakiamua kuwa kamalaika kanakuwa. Haka hakawezi kuwa koraputedi. Ndo kalivyo. Lawama hapo utanionea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…