mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
The finalWeekend ya Kombe la Dunia
The finalWeekend ya Kombe la Dunia
HahahahaView attachment 809259
Wafundisheni watoto wenu haya maujanja ili walipende somo la Hisabati!
THLView attachment 809259
Wafundisheni watoto wenu haya maujanja ili walipende somo la Hisabati!
Duh!Kuangalia TBC ni bora hata uzime tv uwe unajiona ww kwenye kioo cha TV.
Mkuu Davet njoo huku. Au uko bize unazinduliwa (upya)?Siporeki hata kidogo....Kuwa na AMANI na mkeka wako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora kumpa belgium kuliko kioze
Watu wa conspiracy wanasema hakuwa mtu wa kawaida. Pengine ndiyo hayo anazungumziaKama yapi
Hujambo weyeHuu uzi unaharibu akili za watu maana hakuna aliyesalama humu
SijuiMkuu Ruta wapi siku hizi
Du aiseeUsiku wa kupumzisha nyasi
Wacha nimtag Mzee wa mwakaleli aje hapaBora uji kuliko juisi ya parachichi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] biashara ya parachichi kwisheny
Hahahaha haya bhanaEngland 4 vs Belgium 0 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Numbi huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaDakika 90 zishaisha na matokeo ni Red devils 2 na Uingereza nunge.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
cc: Numbisa
Home sweet homeEngland.....[emoji107]