Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hajatisha kwa lolote. Tujue kwanza kama huyo anayetupwa majini anajua kuogelea ama la. Azawaisi hakuna kitu na badala ya kutoka na samaki ataishia kuwa chakula cha samaki [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee sababu siijui. Sikuwahi kuwa na ukaribu naye. Alikuwa 100% committed kwenye likes na mambo ya kupiga porojo na kujenga urafiki na mazoea hakujihusisha nayo....

Ila kuna kipindi alikuwa anatumia mafyekero kujiwekea likes kwenye post zake za zamani hivyo hakuwa na haja ya kuendelea kuposti huku...

Atarudi bila shaka. I hope huko aliko ni mzima...
Nani huyo mkuu
 
Back
Top Bottom