Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tulikua kwenye basi tunaelekea arusha,ile namcheki dereva kumbe ni best yangu na basi ilikua kwenye spidi hatari, nikaenda kumziba macho nikamuuliza otea mi ni nani,kabla hajanijibu nikasikia kishindo kikubwa sana
NA SASA HIVI NIMEZINDUKA NIMEONA ABIRIA WOTE TUPO WODI NAMBA 3 HAPA KCMC MOSHI...SIJUI NDIO TUNAKULA LUNCH!!?
 
Poleni sana wakuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
SIMBA SC KWA HILI HAPANA

Ni dhahiri...... Simba SC iliwahitaji Emanuel Okwi na John Bocco katika michuano ya Sportspesa Super Cup na Kagame Cup.

Mchezo wa soka ni chemistry. Reaction yoyote ina matokeo aidha chanya au hasi kulingana na mazingira husika .

Simba SC ndio bingwa wa muda wote michuano ya kombe la Kagame kwa kulichukua mara sita kuliko timu yoyote ile ukanda wa CECAFA . Wanaomfatia ni Yanga mara 5 na Gor Mahia mara 5.

Utunzwaji wa rekodi na ubora wa timu ni kitu muhimu sana hususani katika michuano ambayo inachangia kuiweka vyema legacy ya klabu husika.

Simba baada ya kulikosa kombe la Sportspesa msimu uliopita , walitakiwa kuingia na mipango ya kulichukua msimu huu wakiwa na kikosi kamili pia kuendeleza rekodi yao bora Kagame Cup kwa kuzidi kutengeneza gape kati yake na Yanga na Gor Mahia .

Michuano hii ipo katika ratiba za vilabu hivyo wanavyoingia mikataba na wachezaji ni dhahiri wanakuwa sawia kuitumikia klabu yao katika michuano yote unless wawe wameumia lakini sio kuwaondoa potential players klabuni kwa sababu ya kuwapumzisha tu . Hii si sawa katika rekodi na masilahi mapana ya klabu.

Michuano pekee ya kupumzisha wachezaji au kutoa nafasi kwa kila mchezaji ni michuano isiyo rasmi tu . Michuano ambayo ushiriki wa klau hauwezi kuharibu rekodi yake pia kuchafya legacy ya timu.

Kwa uwekezaji uliopo hivi sasa , Simba ilitakiwa kuwa serious kwa kila jambo muhimu mbele yao. Ilitakiwa kila kombe washiriki kama washindani haswa na kubeba kila kombe ili kurudia vyema zile zama za TAIFA KUBWA !

Nimewaza tu baada ya majibu ya kupumzishana

Samuel Samuel
 
Back
Top Bottom