*Jamaa alikua ana tabia akifanya mapenzi na Mke wake raha ikimkolea anapiga makelele mpaka majirani wasikia.*
*Siku moja jirani yake Mzee Hamisi akamwambia hivyo unavyo fanya ni makosa na ni aibu sana.*
*Watu wote wanajua wewe na mkeo munafanya nini·* *Jamaa akajibidiisha kwa siku mbili hakupiga kelele.*
*Siku ya tatu hakuweza kustahmili kwa raha akaanza kupiga kelele "Aaaah, mzee Hamisi nisamehe lakini tamu sanaaaa, Mzee Hamisi...... aaaaaaaah, nisamehe nitamaliza sasa hiviii, aaaah!.*
Mzee Hamisi akafungua dirisha akawambia
_*"wewe mjinga piga kelele utakavyo lakini usitaje jina langu majirani wataona unanifanya mimi"*_[emoji23][emoji23][emoji23]