Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weee hujawahi kunywa uji weuweee sio ule wa mgonjwa,ni ule karibia kusonga ugali wacha weeee uji mzitoooo moto moto aiseee muda huo hata izirail akitokea utamsalimia na kusema dah umenishtua mwananguuuu nilidhan fumanizi kumbe ni wewe nisubiri nimalizie haka ka utamu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh [emoji23]
 
tulikua kwenye basi tunaelekea arusha,ile namcheki dereva kumbe ni best yangu na basi ilikua kwenye spidi hatari, nikaenda kumziba macho nikamuuliza otea mi ni nani,kabla hajanijibu nikasikia kishindo kikubwa sana
NA SASA HIVI NIMEZINDUKA NIMEONA ABIRIA WOTE TUPO WODI NAMBA 3 HAPA KCMC MOSHI...SIJUI NDIO TUNAKULA LUNCH!!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG_20180715_025020.jpg
 
Usiku huu huko mliko Magogo yabebwe, uji unyweke, parachichi zitafunwe, machenza yaliwe, konokono wameng'enywe, muhogo wa jang'ombe msiuache,[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] kisha mlete mrejesho
 
Back
Top Bottom