moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Usiku wa burudaniUsiku wa raha
Usiku wa burudaniUsiku wa raha
JamaniiiiSiporeki hata kidogo....Kuwa na AMANI na mkeka wako.
Safi kiongoziHabari zako mkuu
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Hahahaha
Umeona kiongozi5 hrs ago umekimbiza balaaa
[emoji16] [emoji16]UKIWA NA ROHO MBAYA HATA SURA HUCHAKAA.
LikizoMkuu Ruta wapi siku hizi
Yaweke hapa tuyajueHistoria yake inafurahisha sana lakini kuna mambo yanafichwa juu yake
Niaje mzee,,, hata ww mida hii upo humu? C'moon bhna04:00
Hahahahahaha [emoji16] [emoji16] [emoji16] Bro Ayubu akipita hapa..[emoji16] [emoji16]Kuangalia TBC ni bora hata uzime tv uwe unajiona ww kwenye kioo cha TV.
Mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzioMtoto wa mwenzio changamka nae.
Hahahaha[emoji16] [emoji16] [emoji16]Unasema
AiseeeNdiyo maana nakuchangamkia[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] jitahidi unichangamkie mtoto wa mwenzio
AiseeBora kumpa belgium kuliko kioze
[emoji16] [emoji16] [emoji16] umeona mziki huoHahahaha
Yatakugharimu haya maneno mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Yajayo yatawashangaza sana Croatia, maana si kwa adhabu watakayo lambishwa na France. Wataomba poo wao na wapambe wao waliopo bongo