Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu kama kitabu, daa, nimeshindwa kuimalizia nitairudia baada ya fainali WC
 
Yatakugharimu haya maneno mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha [emoji16] [emoji16] [emoji16] hakuna gharama yoyote. nawaamini sana blues, inadaiwa Deschamp ameonekana mjini Kanu Nigeria ameenda kutafuta mbinu za ziadi za ushindi[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…