Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Kutokana na kwamba mitambo hii ilikuwa na jukumu muhimu katika maendeleo ya teknolojia kwa mpango wa Korea Kaskazini, juhudi hizi zinaonysha hatua muhimu ya matumaini kwa Korea Kaskazini," kundi la wakaguzi nchini Korea Kaskazini ( 38 North) lenye makao yake makuu mjini Washington limeandika kwenye ripoti hiyo.
 
Kwa mujibu wa 38 North, picha za kuanzia Julai 20 zinaonyesha shughuli za kuvunjwa kwajengo kwenye eneo ambako satellites za Sohae zinakorushwa, katika pwani ya magharibi ya Korea Kaskazini.
 
Rais wa Marekani Donald Trump alisema baada ya mkutano wa kihistoria Juni 12 na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kwamba Kim alikuwa ameahidi kuwa eneo kuu la majaribio ya makombora ya masafa marefu litaharibiwa hivi karibuni.
 
Aibu inabadilisha au kufuta Tabia? Jibu linategemea na lengo . Kwa watu wanaojali kuhusu mitazamo ya wengine juu yao, Aibu inaweza kufuta tabia mbaya. Ni aina ya Adhabu, Aibu ni kitu ambacho watu wengi hukiepuka. Ingawa kuna faida ndani yake.
 
Picha za Satellite zinaonyesha kwamba Korea Kaskazini imeanza kuvunja miundombinu muhimu kwenye maeneo kunakofanyika majaribio ya makombora ya masafa marefu, kituo cha wataalam kimetangaza.
Usicheze na kiduku. Wachambuzi wanasema program yake tayari ilishavuka experimental stage hivyo hana haja na hivyo vituo vya majaribio. Inasemekana anavyo vichache vya siri na majaribio ya makombora mapya yanaweza kufanyikia huko. Wengine wanasema anaweza hata kwenda kuyajaribishia kwa marafiki zake China au Urusi akitaka. The boy is very smart...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…