Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama tunataka kuwa katika kundi la watu wenye nia ya kuibadilisha dunia, hatuna budi kuchagua rasilimali zitakazotusaidia kufikia mabadiliko tuyatakayo. Moja ya ni maarifa mapya kuhusu sayansi, mabadiliko ya ulimwengu au afya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama tunataka kuwa katika kundi la watu wenye nia ya kuibadilisha dunia, hatuna budi kuchagua rasilimali zitakazotusaidia kufikia mabadiliko tuyatakayo. Moja ya ni maarifa mapya kuhusu sayansi, mabadiliko ya ulimwengu au afya.
 
Nyingine ni kujifunza zaidi kuhusu utamaduni, mifumo ya uchumi na undani kuhusu ardhi na kuelewa maadili na mbinu za kubadili upeo wa kimaadili.

Inaweza kujulisha ujuzi wa kutatua migogoro, uwezo wa kuongea kwa mvuto na kujua mambo yote yanayotokea kwa lengo la kuibadili dunia.
 
Wakili Menrad wa D' Souza amewekwa ndani saa 48 yeye na wateja wake kwa amri ya RC.Menrad amekubwa na mkasa huo wakati akitekeleza majukumu yake ya uwakili.Huu ujinga hauvumiliki lazima tupinge maana naona wateule wa mkuu wanavuka mipaka kisheria
 
Nne, uzoefu wa maisha. Kama tumejitolea kujifunza, maisha yenyewe ni mwalimu! Kwa kuwa na uzoefu wa mambo mengi tunakuwa tumetanuka kiupeo. Siyo tu tunatakiwa kuyagawa maisha yetu ili tuwe na uzoefu wa aina nyingi, bali kufungua akili zetu ili tuweze kufaidi uzoefu uliotamalaki dunia.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…