Juana na watu wenye maadili tofauti na yako bila kuwaacha wanaofanyakazi tofauti na yako na usiache kushiriki michezo na matukio mbalimbali yanayofanyika kwenye jamii inayokuzunguka. Mambo haya yote uongeza upeo katika maisha yetu na kutuongoza kwenye njia ya kuelekea kwenye hekima.
Yaani unapenda habari za kuch kuch hotae wewe,sijui ukoje[emoji23][emoji23]
Vya motooooo mafuta mafuta,ukikibonyeza unasikia pwiii pwiii
[emoji3] [emoji3]
Hakuna siku nisiyochoma vitumbua...Vitumbua mayai....Wahitaji vingapi?
Kurahisisha upoaji???? [emoji23]Kimoja tu ambacho naweza kukigawa sehemu nne! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Kurahisisha upoaji???? [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Toto tundu keshaanza mambo yake! [emoji1][emoji1]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu habari yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]