Ni muhimu kubadili mtindo wako wa chakula . ili kuepukana na magonjwa yanayosababishwa na hivyo vyakula vilivyokuwa tayari vimetengenezwa. Vyakula hivyo ni kama, maandazi, sukari, dairy, soy, na chumvi ya mezani, pamoja na cheese, nyama nyekundu, mayai na vinywaji vyote vya kiwandani. Vyakula hivi vinatuongezea magonjwa yasiohitajika kwenye miili yetu.
Wanawake kukosa uzazi , wanaume kukosa nguvu za kiume ni kutokana na vyakula , hakuna kitu kingine.