Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.Ondoa Magonjwa.

Ni vizuri kama utaweza kuondoa bacteria, parasites, na yeast ndani ya mwili wako . Achana na madawa ya hospitali kwanza , tumia dawa chakula kuondoa hao bacteria. Fikiria kama kuondoa takataka ndani ya bustani yako , au ndani ya shamba lako zuri .
 
3.Tumia Maji Safi Ya Kuchujwa



Kunywa maji safi ya kuchujwa , badala ya maji ya kununua au ya kwenye bomba ili kuepukana na kitu chochote ambacho kingeweza kukudhuru .

Maji ya bomba yana uchafu mwingi sana , kwa sababu ya njia yake , yanaweza kusababisha madhara makubwa ndani ya mwili wako , hasa kuwa na typhody isiopona.

Unamaliza mazoezi tu una chupa yako ya maji , au unakimbilia kwenye bomba la maji na kunywa maji . Kwa sababu madactari wamesema kwa siku unywe maji kiasi cha glass nane. Rafiki fikiria mara mbili kwanza.
 
4.Eat More Green Veggies



Ni vizuri kulisha microbiome zetu kwa kula mboga za majani za kutosha . Ambazo zinatunza na kulinda afya zetu na kubalance microbiome. Ni nzuri pia kwa bacteria wazuri ndani ya miili yetu. Zina lishe ya kutosha na vitamini.
 
5.Angalia Zaidi Bacteria Wazuri.

Ni muhimu kufuatilia vyakula ambavyo ni vizuri. ( chakula na dawa) yaani hapo hapo unakula chakula kizuri na kupata dawa kwa wakati mmoja. Utakuwa unapata digestion nzuri, na kupumua kwako kutakuwa ni rahisi. Mwili utakuwa mwepesi , utaanza kujisikia vizuri, macho yako yataona vizuri. Akili yako itafanya kazi vizuri. Kila sehemu ya mwili wako itakaa sawa.
 
6.Eat Rich Foods

Kula chakula kamili na kinywaji safi. Kama samaki, kuku wa kienyeji, mboga , nazi, maji ya nazi, dagaa, mbegu za maboga, na matunda ya kutosha.

Vitunguu swaumu, mdalasini, tangawizi , limau, nyanya, vitunguu maji , karoti, zukini au bilinganya, kuna zingine kama asparagus, kombucha, kimchee na zingine.

Hivi vyakula ni muhimu kuliko kitu chochote mwilini mwako.
 
Pia lina sukari nyingi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…