Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Picha hii inaongea vitu vingi sana .. Hadithi yao ni mfano wa tafsiri halisi ya uzalendo na Uafrica. Sijui mzee wetu alikua chaka gani hata?!
Ni lazima iwe Photoshop. Hao wote wasingeweza kukutana wote wakiwa hai. Garvey alifariki mwaka 1940 na Sankara alizaliwa mwaka 1949. Hawangeweza kukutana katika sayari hii.

Ni kosa kumwacha Nyerere. Huwezi kuwa na Mandela bila Mwalimu...
 
Hah hah

You Genius Bro! Umeusoma mchezo very fast. Ha haa ha

Ukitizama picha tuu unajua hii ni photoshop. Check Bob ametokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…