Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hah hah

You Genius Bro! Umeusoma mchezo very fast. Ha haa ha

Ukitizama picha tuu unajua hii ni photoshop. Check Bob ametokea
Right away nililigundua hili hata bila kuangalia picha imekaaje. Majina tu yalitosha. Garvey na dogo wa juzi juzi hapa Sankara wawe kwenye meza moja? Tena amevaa kombati tayari? Angekuwa kwenye diaper angalau [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna vitu vingi tu, Sankara wakati anatawala Mandera alikuwa gerezani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…