carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hivi shem mbona ule mkono wako uliufuta?[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Subiri akija. Walimbana Bae wa uzi (aka Mr. Kuzinduliwa) mpaka ikabidi aweke mkono wake halisi. Na wenyewe wakaanza kuuponda. Siyo watu wazuri hawa !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikuwa anawabeep,,alikuwa anataka awepelekee usistaduu huko
Niliona bro,,,Subiri akija. Walimbana Bae wa uzi (aka Mr. Kuzinduliwa) mpaka ikabidi aweke mkono wake halisi. Na wenyewe wakaanza kuuponda. Siyo watu wazuri hawa !!!
Hatupoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wiki hii nawapa likizo kwanza mpoe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa ngoja nikai zoom kwanza nione kama kucha zimekatwa[emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliona bro,,,
Nawaelewa sana hawa,,,hapo wameongezewa na shati,,, hutachelewa kusikia Wanaisave kwa matumizi ya baadae[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli hampoi[emoji23][emoji23][emoji23]Hatupoi
Kweli kabsa!!!Ulimbukeni haufai hata kidogoWazazi wengi wa sasa wanakimbia majukumu mwisho wa siku wanaanza kulalamika ooh mwanangu anatabia za ajabu kumbe aliwapa watu wamlele.
We unafikiri mwalimu anamuda wa kumchunga mtoto wako ana fanya nini na nani na wapi?
Ifike kipindi watu wakiamua kuwa wazazi wawe wazazi kweli wasizae na kupeleka watoto shule mapema kwa kisingizio cha kuwa busy na maisha
Hahhahaha kumbe mwenyeji
Mbona aliweza?Hajazoea ndo mana sio usista duu
Niko salama bro!!! AmeniMi sijambo bro. Naamini hata kwako ni hivyo hivyo. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sikuufuta. Upo tu utafuteni. Siyo wa kwangu na hata post yake siikumbuki...
View attachment 825125
Maneno hayoo,,, tena ukizoea utakuwa unapiga hadi unaemsalimia anakuambia usimameWah[emoji134][emoji134]
Hapa na hii mifupa nipige magoti nusu saa naongea na mkoromije si nitakufwa mie??
Unataka uwe unazivaa wapi?Kweli hampoi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 825123
By the way nina shida na hizo za shingoni napata wapi?
Nilijua tu....Kweli hampoi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 825123
By the way nina shida na hizo za shingoni napata wapi?
Nondo zipi?Sijambo prof. Leo hujashusha nondo?
Mshua wako atakuwa ndio kama wale wa kipindi cha enzi ya Mtume,,, unaambiwa usome ayaa au sura toka kwenye juzuu unabeba mke[emoji16][emoji16][emoji16]
Mshua hana hizi mambo aiseh!mbali na kuwa mzee wa old school wale wazee wa 1867 hizi mambo za kujilipa fidia ya malezi na kusomesha
Ndo imetoka hivyo...pishi mi ntalijuaje?Hizo samaki zinapikwa pishi gani?
Naona tu nyanya hapo kwenye kikaango