MCL imeongea na Meneja wa Miradi wa Jokate, Baraka Samweli alisema, mkuu huyo wa Wilaya ya Kisarawe ameambatana na familia yake , marafiki na wafanyakazi wa kampuni yake.
Magavila Mwegelo akiongea na MCL amesema amefurahishwa na uteuzi wa mdogo wake huyo na kwamba anamtakia kazi njema .
Pia amemuombea kwa Mungu atende yote aliyoyaapa kwenye kiapo alichokula leo hii na kwamba wao kama familia wanamuunga mkono na watampa sapati kubwa.