Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli.
Hata mkikutana kimjini mjini bado mnakuwa na nafasi kubwa ya kuomba mpelekane kwenu kama lengo ni kuishi pamoja kama mume na mke. Binti/kijana mwenye mahusiano mazuri/mabaya na familia yake utamgundua tu kipindi cha mahusiano yenu, kama utakuwa makini kuchunguza hilo.... Rafiki yako tu wa karibu ukiwa nae karibu sana utagundua kuwa huyu yupo vizuri na familia yake ama la!
 
Polee sana!! Mara paap! Heeeee! Waoooo, ufwaaaa! Ughwe umwana nkusyukilwe fijo, utwa masiku?? (Moms)..

Kwanini Carba azimie??

Hali hii iliyo tokea Zimbabwe ndio imenifanya mwezi huu uwe wa kipekee...
Je, ni kweli alistahili kufa kifo hiki? Ameacha watoto wadogo kama nilivyoachwa mimi? Kama ndiyo, wataishi kama nilivyo ishi mimi na wadogo zangu? Mbona ni mateso!!!
Uvaaji na sehemu aliyo pigwa risasi inaonyesha dhahiri hakujiandaa kimaandamano.
Huyu hajafa, ila ameuawa. Naamini hata watoto "wameuawa" kifikra.
SIIPENDI SIASA....
 
Kweli kabisa... Huo nao mtihani mwingine.
 
[emoji24][emoji24][emoji24], Mungu atutie nguvu[emoji120][emoji120][emoji120].
 
Hahahha kweli kabsa mzee,,, ndoa inayotokana na mimba mwsho wake huwa sio mzuri,,

Kwema mzee wangu?
 
[emoji24][emoji24][emoji24], Mungu atupe nguvu[emoji120][emoji120][emoji120].
Hata tukiomba atupe uvumilivu, kuna muda tunashindwa tunaishia kukufuru tu.
Ni nani mwenye uwezo wa kukabiliana na matukio kama haya? Anae amrisha kwa wengine wafanyiwe hivyo kwake ulinzi wake ni kilomita 10 nusu kipenyo. Familia yake haidhuriki mpaka Mungu aamue
 
Ni kweli mkuu,,,mihemko ya ajabu ajabu haitakiwi kabsaa,,,

Kwema huko Pyaar?
 
Aisee,,, Siasa hz,,,
Mungu ampumzishe kwa amani!!!!
 
Hahahahha shukrani mzee andjul,,,,nipo najipanga kwa ajiri ya vikao vya September(supplementary),,,, maana kuna mitihani jinsi nilivoifanya matokeo nayajua mwenyew[emoji23] [emoji23]
Usitegemee Bwana atende miujiza[emoji23][emoji23]...

Utavuna ulichokipanda.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Yaani mimi naichukia siasa!
Aliye chaguliwa mwacheni akae hata kama kaiba kura, iko siku 40 yake itafika walahi!
Mambo ya kushabikia upinzani sitaki kusikia kabisa kabisa walahi!
That’s all!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…