Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani mimi naichukia siasa!
Aliye chaguliwa mwacheni akae hata kama kaiba kura, iko siku 40 yake itafika walahi!
Mambo ya kushabikia upinzani sitaki kusikia kabisa kabisa walahi!
That’s all!
Hakika umesema[emoji120] [emoji120]
Siasa ni maisha ya watu, lakini maisha sio siasa, ni uhai tulio tunukiwa na Mwenyezi Mungu. Hatuhitaji kuchanganya uhai wa wa mtu na mahitaji ya kisiasa.
Ingelikuwa ni amri yangu kusingekuwa na chaguzi, aliyepo akichoka ampe anaye mtaka. Period
 
Indeed!
Mambo mengi wadhungu wametuletea ili kuzidisha conflicts kwa waafrika!
Umaskini na Demokrasia wapi na wapi walahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…