[emoji23][emoji23][emoji23], hivi kumbe bado wapambana na mitihani ya kwenye makaratasi???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee,,, ndio nipo najipanga hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana bhna,, nipo napambana na mitihani ya majarubani huku kwenye mpunga![emoji23][emoji23][emoji23], hivi kumbe bado wapambana na mitihani ya kwenye makaratasi???
[emoji23][emoji23][emoji23], Umelima mwenyewe, umevuna mwenyewe na unakula mwenyewe....[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana bhna,, nipo napambana na mitihani ya majarubani huku kwenye mpunga!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,umesahau eeh?? Mlimaji mmoja, mvunaji mmoja ila kwenye kula sio mmoja tena,,, tunakula wengi[emoji23][emoji23][emoji23], Umelima mwenyewe, umevuna mwenyewe na unakula mwenyewe....[emoji23][emoji23]
Mbona hatukaribishani sasa? Tukaribishane bwana tujumuike pamoja kula matunda ya nguvu zako ulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu..Wengine tulipewa nguvu za kutafuna tu[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] ,,umesahau eeh?? Mlimaji mmoja, mvunaji mmoja ila kwenye kula sio mmoja tena,,, tunakula wengi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] ...guvu zako.....Mbona hatukaribishani sasa? Tukaribishane bwana tujumuike pamoja kula matunda ya nguvu zako ulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu..Wengine tulipewa nguvu za kutafuna tu[emoji23]
[emoji23][emoji23], ushawaza ndivyo sivyo....Usiniondoe kwenye reli mtu mzima mwenzangu[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] ...guvu zako.....
Nisitie neno nisije haribu siku yangu bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msimu huu mapema tu ntatoa mwalikoMbona hatukaribishani sasa? Tukaribishane bwana tujumuike pamoja kula matunda ya nguvu zako ulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu..Wengine tulipewa nguvu za kutafuna tu[emoji23]
Kwani ubwabwa uliovunwa hivi karibuni mshaupiga chini wote??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msimu huu mapema tu ntatoa mwaliko