Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hapana nimewiwa tu.

Isije kuwa ndo maneno ya mwisho kwenu, kwa maana leo nina furaha isiyo kifani.
Katika jina la Yesu natengua kauli yako hii. Nayafutilia mbali mawazo na maneno haya haijalishi kama ni utani ama la. Kama una msongo wa mawazo na ukaoshwe kwa jina la Yesu. Kama unafikiria kujiua, mawazo hayo na yakafe na badala yake mawazo ya upendo wake na matumaini yakatawale fikra zako.

Prof, we still need you [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…