Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WAEFESO 3:20

Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Amina mama mtumishi umeamkaje
 
Majira yanakuja ya kuwa na matunda mengi mbalimbali, hasa msimu huu wa maembe, mwezi wa kumi na mbili una magonjwa mengi, safisha sehemu yako ya kuhifadhia chakula, mazingira yako, safisha mwili wako pia kwa kuondoa vyakula jikoni kwako , na badala yake jaza matunda na mboga za majani.

Na unaweza kusafisha mwili wako kwa kula chakula mara moja tu kwa siku , nikiwa na maana kwamba chakula kizito. na muda mwingine ule matunda na mboga mboga tu.
 
Ni nini hasa kula kilicho safi?

Kula kilicho safi maana yake ni kila sehemu , lakini kula kilicho safi hasa ni kitu gani? Maana ya kula kilicho safi ni kula kilicho bora na chenye afya kutoka katika kila kundi la vyakula, Vyakula kama mbaga za majani, matunda, nafaka kamili, na vyakula vya protini.

Hii ni pamoja na kuwa mbali na vyakula vilivyotengenezwa tayari kwa muda mrefu. Wakati unapokula kilicho safi, unajaribu kuupa mwili wako kilicho bora ambacho hakipo hapo, vyakula ambavyo vitaufanya mwili wako uwe na afya na uzito ulio sahihi.
 
Kabisa uwepo wake ni muhimu sana lakini sir God akikuhitaji hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…