Wasiwasi , dhiki, na magonjwa yasiotibika, na kujishusha , vinaweza kuwa vyote vikateketea, na kutuachia huzuni ya haraka katika uwezekano wa kushindwa kuishi maisha,
Tunaweza tu tukaendelea na mwendo , hisia zetu zote sio za kweli, ni hisia tu. ni hisia tulizo nazo, na huenda zikatoweka . Ni mitazamo yetu na wale wanaotuzunguka. na hivyo ndio hutufanya tuonekane kina nani na jinsi tunavyowaona wengine na kazi za Ulimwengu.
Sisi ni matokeo ya kile tunachofikiria. Ubongo una kiasi cha mawazo 2500 — 3,300 kwa saa. kulingana na wachunguzi. mawazo yanayosukuma malengo yetu ndio yanayokuwa ya mbele kwenye akili zetu. Bila shaka, kuna mengi ya kuchagua kutokana na hayo.