Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Show ya kibabe raundi moja tu analala ka mtoto mdogo. Insomnia mai futi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Huyu mla watu huyu.....
Katika shughuli zangu za ushauri nasaha na ushauri kwa vijana, nitakuwa nakatumia kaYego kama mfano wa vijana hopulesi kabisa wasioelewa kuchangamkia fursa anzilishi tamanishi kamilifu. Prof alijitolea sana halafu bado mgeni mgeni dah! Na fursa za hivi ni nadra kuja mara mbili mbili unless kama kalizungukia uwani na kwenda kuanza kufundishwa kwa siri sirini [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️Yego umerudi kwa mwalimu wako?!!! Kweli ccm walio enda chadema na wanarudi ccm tusiwashangae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwalimu alikubembeleza sana weee mtoto, ukajifanya mgumu kwa kumuiga Cole, alivyotikiswa tu na sweetlee nae chaliii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Saa hivi Pyaar yupo andakea ya wazee wanao jua kuhendo...
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kwa kalio lile[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau huku eeh??
Wanawake JF Asilimia kubwa ni Waongo, Matapeli nmechoka nao
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kaYego kakiona hivi kanajisikiaje?[emoji28][emoji23][emoji23][emoji28]View attachment 830428
R.I.P MZEE...
R.I.P MZEE...
Mgumu wapi anachosha watu akili tu[emoji23]
Kwahyo mkuu yego atakuwa MzitoKatika shughuli zangu za ushauri nasaha na ushauri kwa vijana, nitakuwa nakatumia kaYego kama mfano wa vijana hopulesi kabisa wasioelewa kuchangamkia fursa anzilishi tamanishi kamilifu. Prof alijitolea sana halafu bado mgeni mgeni dah! Na fursa za hivi ni nadra kuja mara mbili mbili unless kama kalizungukia uwani na kwenda kuanza kufundishwa kwa siri sirini [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
😂😂😂😂Umesahau huku eeh??
Wanawake JF Asilimia kubwa ni Waongo, Matapeli nmechoka nao
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kaYego kakiona hivi kanajisikiaje?
Mfyuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ni kagumu? Kanaona easy tu! [emoji1][emoji1]
Kifo kifo tu bro...Maisha Ya Ubachela,, Unaishi Kama Mfalme,Lakini Unakufa Kama Panya!!
Kwahyo mkuu yego atakuwa Mzito
Uhai ukitoka thamani haipo tena....Kifo kifo tu bro...
Mi hata wanitupe mtaroni sawa. I am dead [emoji16][emoji16][emoji16]