Kwangu huwa zinakataa - hata zile ndogo less than 1 MB. Ni kubahatisha bahatisha tu...Ndio,, app haisumbui khs hzo gif
Siyo Tanzania tu. Ni popote pale. Mzee Trump huko anadanganya yaani hata kama kuna ushahidi wa video laivu kabisa.Mwanasiasa Wa Tanzania Akisema Nakutakia Usiku Mwema Toka Nje Uangalie kama Kweli Ni Usiku.
Wakati mwingine ukienda tu kwenye settings na ukasafisha cache na data zote walaaaa chrome kama mpya vile. Ikifikisha cache zaidi ya 1GB au hata 500MB tu inaanza kuwa slow japo pia inategemea na simu unayotumiaHata uc ilinigomea nikaifuta nikadownload upya ikakubali,nadhan na chrome inaweza kuwa imechoka
Benazir Bhutto. Mwanamke wa shoka.
Kumbe mchukia Wasukuma ni wewe? Hicho cheo ulikipataje? Shwaiinii kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]Eti mchukia wasukuma jamani[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 832496
Hata mm kuna muda nabahatisha tuKwangu huwa zinakataa - hata zile ndogo less than 1 MB. Ni kubahatisha bahatisha tu...
Andaeitini chloroquine utaijulia wapi? Dawa zenu za sasa tamu zimetiwa sukari na flavour juu. Yaani unaweza hata kurumangia ugali ukiishiwa mboga [emoji16][emoji16][emoji16]Hizo dawa sijawahi tumia mimi,siumwagi malaria
✔✔hovyoSiyo Tanzania tu. Ni popote pale. Mzee Trump huko anadanganya yaani hata kama kuna ushahidi wa video laivu kabisa.
Politics - the dirty game of manipulating the masses mainly for personal gain - fame and legacy. Hovyo kabisa !!!