carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lile nyonyo kama tikiti la morogoroBro. Usishangae ikawa Masaki ohooo...
Kamezidi kuwaandama Wasukuma aisee. Na kenyewe inabidi tukacharukie sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jidanganyeniNi kweli kabsa bro
Hahaha ni kweli aisee anawanyima usingiz wasukuma,, kumbe kenyewe ni kazaramo eeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anazinduliwa upya !!!
Wacha wee[emoji2][emoji2][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]View attachment 833987
Hakuna jipya kwenye siasa. Ni nani aliyedhani kuwa siku moja Mzee Lowassa angeweza kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA? Tangu hili litokee hakuna kitu kitakachonishangaza kwenye siasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa mbona unawaandama na kuwachukia hivyo? Reverse psychology haloooo !!!Mimi?nilisema nataka kuolewa na mshamba msukuma?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ningendako
Mkuu aliolewa na muingereza mmoja kichaa akamzalisha mtoto mmoja wakatibuana aliporudi mzungu kaja juu anataka mtoto wake nikamwekea advocate akashinda kesi mtoto akabaki naye mpka sasa habari mbaya ana kansa ya ziwa nampa kampani ya kutosha sana japo mambo ya mgegedo siko naye kabisaHahaha mzee wa liver bhana,,, kwan bado mnawasiliana na huyo ex wako
Pwani huko mi naitaga wote Wazaramo tu. Moudgulf anakajua haka. Wanafanana mila zao walikuwa wanapongezana humu na mila ya ujengeziNi kweli kabsa bro
Hahaha ni kweli aisee anawanyima usingiz wasukuma,, kumbe kenyewe ni kazaramo eeh
Hahahaha mkuu umenichekesha sana halafu ni binti wa kisukuma cheupe dawa nilifungua njia mwenyeweUkiona hivyo kuna mawili:
Ama bado wanawasiliana...
Au mbunye ilikuwa tamu sana hajaisahau [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Niko poa kamanda. Nilikutafuta baada ya "This is Livapuu" kukandika mtu nne kwa nunge [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu mambo vipi
Unaona sasa. Niko sahihi. Mtu uliyembikiri aisee huwezi kumsahau...Ni urafiki wa kudumu huo...Hahahaha mkuu umenichekesha sana halafu ni binti wa kisukuma cheupe dawa nilifungua njia mwenyewe
Umekufa umeoza[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]View attachment 833987
Hakuna jipya kwenye siasa. Ni nani aliyedhani kuwa siku moja Mzee Lowassa angeweza kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA? Tangu hili litokee hakuna kitu kitakachonishangaza kwenye siasa [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndiye ulimuoa au uliharibu tu halafu ukaenda zako? Cheupe dawa wa Kisukuma hapo ulitaka kutuharibia ng'ombe zaidi ya 50. Ukinitibua naanza kukudai fidia ya mahari ohooo [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Hahahaha mkuu umenichekesha sana halafu ni binti wa kisukuma cheupe dawa nilifungua njia mwenyewe
Ila mimi siwachukii bhanaSasa mbona unawaandama na kuwachukia hivyo? Reverse psychology haloooo !!!
Mbona usiwachukie Wakerewe, Wakara au Wanyakyusa?
Leoo mmh![emoji10]View attachment 833989