Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Washambuliaji- Pauni 425.8 milioni

Kwenye kikosi hiki, safu ya ushambuliaji inaundwa na wakali watatu matata kweli kweli, wakikosa ukachinje kuku. Cheki wakali waliopo kwenye fowadi ya kikosi hiki ghali kabisa duniani, ni masupastaa Neymar, Cristiano Ronaldo na Kylian Mbappe.
 
Washambuliaji- Pauni 425.8 milioni

Kwenye kikosi hiki, safu ya ushambuliaji inaundwa na wakali watatu matata kweli kweli, wakikosa ukachinje kuku. Cheki wakali waliopo kwenye fowadi ya kikosi hiki ghali kabisa duniani, ni masupastaa Neymar, Cristiano Ronaldo na Kylian Mbappe.
 
Kweli angalia mpka bongo bila pesa hakuna mpira
 
Neymar alitua PSG kwa ada ya Pauni 199.8 milioni akitokea Barcelona mwaka jana. Wababe hao wa Ufaransa, walikamilisha usajili mwingine wa pesa nyingi, ilipolipa Pauni 121 milioni kunasa saini ya Kylian Mbappe kutoka AS Monaco. CR7 aliwaduwaza mashabiki wengi wa soka alipoamua kuachana na Real Madrid na kwenda kujiunga na Juventus kwa dili linalodaiwa kuwa la Pauni 105 milioni. Kuwa na washambuliaji hao watatu wanafanya kikosi hicho kuwa na thamani ya Pauni 1.09 bilioni.
 
Kama Wachaga wanaweka mbuzi mzima sioni kwa nini hawa Wasukuma walioamua kuwa unique na kutumia samaki iwe ushamba? Kule Brazil kuna wanaotumia vyura. Keki ni nini? Ni lazima iwe ya Kizungu? Waafrika sisi aliyeturoga kafa !!!
Haka kazaramo si ndio kanashangaa kanaona mageni haya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa GK klop nimemkubali lakini beki bado haijaniingia akilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…