Hahahhahha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja waje
Matema ni kijijini kwetu aliko toka mamaangu, Nsalaga ni sehemu ninayo zungushia parachichi kutafuta watumiaji[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Achana nae huyo wa Nansio
Eewaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Simpooo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] labda wa mikoani[emoji23], wanaume wa Darisalama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo kundi la kwanza hakuna amani... Hilo kundi la mwisho Mungu anasamehe tu...Mmh!![emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 834977
Hapo ni SAADANI National ParkMkuu kuna kaeneo fulani Ngonga kwa Mwamunyange kanaonekana hivyo. Picha isingekuwa ya familia ningetupiamo