Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shem kuoanga ni kuchagua,alijichagulia yaliyomkuta.
Me huwa nadhani mkishakiwa wanandoa ni kufichiana madhaifu yenu,sasa kuja kumuanika mumeo kuwa anakojoa mapema sijui tukufikirie vipi.
Na zule picha hata kama si zake mke wa mtu yapaswa kujichunga.

Ila mwisho wa siku yale yaliyomkuta aliyataka.
Atakuwa na id nyingine. Ila aliniangusha sana. Wife kabisa halafu anachezewa na viandaeitini! Iliniuma utafikiri mi ndo jamaa...

Japo kuchapiwa ni siri ya ndani lakini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…