Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Life is about not knowing and then doing something anyway. All of life is like this. It never changes. Even when you’re happy. Even when you’re farting fairy dust. Even when you win the lottery and buy a small fleet of Jet Skis, you still won’t know what the hell you’re doing. Don’t ever forget that. And don’t ever be afraid of that.
 
Ni kweli shem. Kuchapiwa uchapiwe na madhaifu yako pia yatangazwe. Yaani ukipita tu mitaani huko unasikia watu wanacheka. Ninamdharau sana mwanandoa anayemsema mwenzi wake nje. Dadangu kwa kweli aliniangusha sana...ila ukome kututania. Tangu uache kuanzia majuzi ile nina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mpaka hapo kesha ringisha tayari.
Ila zama siku hizi na yeye kama kawa mtu wa drama,hazpendezi hizi mambo awaachie kina wema na wenzie bhana
Zama kama chuchunge wote wanafosi usupastaa na kutaka kunyenyekewa na kila mtu,maskin akina wema wanataniwa wameachangia elfu 80 tu wakati walienda kwa mbwembwe kubwa
 
Kiandaeitini kilimpa ahadi kede kede akajisahau karopoka ya ndani.... Na mimi nitakunyima nanii yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kukutania siachi ng'oo sasa hivi nakupa break kidogo[emoji16][emoji16][emoji16]
Endelea kufurahi maana nikivurugwa utapata tabu sanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…