Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha! Injoini mkilijua hilo....
Mzima wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila hapo kwa kweli Mungu alitukomesha, acha kabisa aisee! Mi buheri wa afya bana, hofu na mashaka ni juu yako uliye mbali na upeo wa macho yangu; Khaa! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
asante sana maa
Hii ndo ile mikono minene niliyokuwa naisaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukimuona @SYB mwambie namshikamia[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bageshi tumewapata samaki
 
Ila hapo kwa kweli Mungu alitukomesha, acha kabisa aisee! Mi buheri wa afya bana, hofu na mashaka ni juu yako uliye mbali na upeo wa macho yangu; Khaa! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Mie mzima wa afya tele, nashukuru kama nawe pia u mzima, jambo la kumshukuru Mungu....
Hizo mbio za nini??? Halafu uachage kujing'atang'ata..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unamaanisha hii ama hiyo mingine??
Kutoka maktaba
#hatushindwi#[emoji125][emoji125][emoji125]
Cc Bae wa uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…