carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vanga siyo? [emoji1][emoji23]
Aisee!!! Nina kumbukumbu kichwani ya video ya kunyongwa Saddam Husein, siku ile mzee na ubabe wake wote alipagawa akawa anatetemeka... Yaani sijui nisemaje! Niliingiwa na huruma sana, nikatamani wamsamehe kibinadamu mengine aje apambane na Mungu wake siku ikifika...Jamaa wanakuja. Wanakuchimbia chini. Wanakula na kusaza. Wanakunywa. Halafu wanakwenda zao. Wanakuacha wewe chini ya ardhi. Finished! Finito !!!
WenyeweSiyo hao.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitaitafuta. Leo pia najipikilisha samaki. Nikiikosa orijino nitawawekea mpya...Muone mavidole yalivyo marefu...Kesho mtoe na magodoro nje. Shwaiiiniii [emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
Hawez msimanga saiv atasubiria yamkute ya kumkuta ili amuumize vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona alisahau kuweka kigodoro na yeye.
Sema hapo esha kanunua ugomvi atakavyomsimanga sipati picha
Una maanisha hivyo vikatuni utaendelea kumwaga humu hadi Jumatatu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shem kuanzia jumatatu ratiba yangu itakuwa imekaa sawa kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui ni magodoro ya wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa magodoro yanahusika vipi na mikono??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Level up-ciara
#weekendvibe#[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]View attachment 840466
Bae kapoteaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamaanisha hii ama hiyo mingine??
Kutoka maktaba
#hatushindwi#[emoji125][emoji125][emoji125]
Cc Bae wa uzi[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 840468View attachment 840470
Wewe ni kwishney kabisa!
Shika lako!View attachment 840460
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakula ubuyu tu kwa raha zako. Yaani wewe bageshi wewe...na kale Kazaramo kale basi tu...