Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Meneja mpya wa West Ham Manuel Pellegrini anasema hakuna sababu kuhusu ni kwa nini wachezaji wake wanaweza kuogopa kuchezea uwanja wa London. (Guardian)
 
Wing'a wa Leicester Demarai Gray, 22, ameweka malengo yake ya kujiunga na kikosi cha England akisema kuwa hataki kuwatazama kutoka kwenye baa, (Sky Sports)
 
Matumaini ya Tottenham ya kusaini mshambuliaji raia wa Uholanzi Vincent Janssen, 24, yamezimwa baada ya kusemekana kuwa mchezaji huyo haondoki. (Sun)
 
Matumaini ya Tottenham ya kusaini mshambuliaji raia wa Uholanzi Vincent Janssen, 24, yamezimwa baada ya kusemekana kuwa mchezaji huyo haondoki. (Sun)
 
Meneja wa England Gareth Southgate atamtazama kipa wa Southampton Alex McCarthy, 28, dhidi ya Everton siku ya Jumapili wakati yuko mbioni kumtafuta kipa. (Telegraph)
 
Mshambalizi anayeichezea Newcastle kwa mkopo raia wa venezuela mwenye miaka 28 Salomon Rondon, 28, anataka kuondoka kabisa huko West Brom. (Chronicle)
 
Real Madrid waki tayari kulipa pauni milioni 270 kwa mshambualiaji wa Brazil Neymar ikiwa vikwazo vya Uefa vitawalazimisha Paris St-Germain kumuuza mchezaji huyo mwenye miaka 26. (Sport)
 
Yaani hadi kuoa watu wanalazimishwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#kikizakipumbavu#[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Makonda aahidi kuwafunga Lulu, Majay, Lemutuz na Meya




Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameeleza kuwa atawafunga Lulu, Majay, Lemutuz na Meya kama wasipofunga ndoa mwaka huu. Mhe Makonda amedokeza kuwa mipango ya ndoa ya Lulu na Majay inaendelea vizuri.
 
Hao wanajuana kwa vilemba.... wanatafuta attention kwa jamii.
Simpatii picha mke mtarajiwa wa Le Kokobanga, wataendana????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…