Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo ishu nilishawahi isoma humu,kuna mtu alikuja kulalamika humu kuhusu hivyo vigroup kuna vinavyochangisha ushuru na vingine vya bila ushuru[emoji124][emoji124][emoji124]
Itakuwa ni vile vigroup vya kufundishana maujuzi sijui ya nini[emoji23], ...topic moja pesa, ikiingia nyingine kama hujalipa unakuwa removed.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafulia nae siku hizi kiki hazina nguvu
 
Cristiano Ronaldo took to social media on Saturday to express his delight at making a winning start to his Juventus career.

Happy Cristiano with win
Ronaldo did not get on the scoresheet as Juve triumphed 3-2 at Chievo in their Serie A opener, Federico Bernardeschi scoring the winner in stoppage time after the defending champions had earlier fallen 2-1 behind.

Mario Mandzukic thought he had won the game for Juventus before Bernardeschi settled matters, only for VAR to disallow the goal, with Ronaldo having possibly handled and collided with goalkeeper Stefano Sorrentino in the build-up.

And despite not grabbing a goal for himself on his bow for the Turin club, former Real Madrid star Ronaldo - who arrived in a €112million deal last month - tweeted: "Happy with my first victory in a Juve shirt!
 
Itakuwa ni vile vigroup vya kufundishana maujuzi sijui ya nini[emoji23], ...topic moja pesa, ikiingia nyingine kama hujalipa unakuwa removed.....

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]group la kufundishana maufundi.
Kuna group la mmu na chitchat,kuna jingine la story kiingilio 5000 na kila mwisho wa mwezi unatuma ushuru[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]group la kufundishana maufundi.
Kuna group la mmu na chitchat,kuna jingine la story kiingilio 5000 na kila mwisho wa mwezi unatuma ushuru[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha! Maisha ubunifu...
Niliwahi ingia group moja hivi, bwana eeh! Topic moja buku, kwa siku unakuta kuna topics zaidi ya 3, halafu kinachofundishwa kule hakina ugeni kwangu, na labda mie ndo naweza kuwa mwl.wa mtoa topics [emoji16][emoji16][emoji23]..Nililipia topic mbili tu nikajiondosha[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kila topic buku,kama ni topic 3 buku3 zileee lol!
Kuna kipindi kila page ya insta ilikuwa na kungwi,mara utasikia kungwi wa kinyamwezi,mara wa kizaramo sijui kungwi toka tanga au umakondeni basi dhahama tupu na wao kiingilio kwa siku buku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjini akili yako tu,kulala na njaa kupenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23], yaani halafu unakuta kinachofundishwa una ujuzi nacho ×5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…