Inapendeza kusikia hvyo...
samahani kidogo,, em rudia kunielewesha kdgo juu ya over na under, 3 Way na handcap
Tumia mechi hii Kama mfano
Burnley vs Watford
Sent using
Jamii Forums mobile app
OVER & UNDER.
Kwenye football tuna vipindi viwili (45dkk za kwanza na za pili)....Magoli yanayopatikana ndani ya dakka 90 = Total goals...
Kuna magoli ya vipindi = 1st Half time & 2nd half time...
Tips za football tunaanzia 0.5 goals na kuendelea, hii ni kwa ubashiri wa aidha half time goals au Total goals.
Mfano. burnley vs Watford
Over [emoji652]
a) 0.5 = kuanzia goli moja na kuendelea.
b)1.5 = kuanzia magoli mawili na kuendelea.
c)2.5 = Kuanzia magoli matatu na kuendelea.
d)3.5 = kuanzia magoli manne na kuendelea.
Magoli haya hayaangalii nani kafunga kati ya Burnley ama Watford....
Mfano, ukitabiri over 0.5, Watford akafunga goli 1 na burnley nae akafunga goli moja au zaidi basi mkeka unakuwa [emoji736][emoji736]
Burnley 2, Watford 1 = 3 goals... hivo kama ulibashiri over 2.5 mkeka unakuwa umetick..
Lakini endapo watatoka 2:1 na ukawa umewapa under 2.5 unakuwa umechana mkeka kwa maana jumla ya magoli = 3, (2+1) ni zaidi ya mawili.
UNDER [emoji652]
a) 0.5 = Wasifungane
b) 1.5 = Wasifungane ama lipatikane goli moja tu pasipo kujali kafunga Watford ama burnley
c) 2.5 = wasifungane ama lipatikane goli moja mpaka mawili, yasizidi mawili.
Mfano. no.2
Burnley 3 vs Watford 0 ...3 + 0 = 3 total goals.. kama uliwapa over 2.5 ...Win ila kama uliwapa under 2.5...Lost.
Kama hujaelewa waweza niuliza.
Sent using
Jamii Forums mobile app