Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji mahiri wa Argentina, Sergio Aguero ameifungia Manchester City mabao matatu ‘hat trick’ katika ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Huddersfield.

Hiyo imekuwa hat-trick ya kwanza ya katika Ligi Kuu England msimu huu wa 2018/19, mabao mengine ya City yakifungwa na Gabriel Jesus, David Silva na bao la kujifunga la Terence Kongolo, bao la kufutia machozi la Huddersfield lilifungwa na John Stankovic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…